Nenda kwa yaliyomo

Sardinia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Sardegna)
Bendera ya Sardinia.
Bendera ya Sardinia.
Sardinia kutoka angani.
Wilaya za Sardinia kihistoria.

Sardinia (kwa Kiitalia: Sardegna) ni kisiwa kikubwa cha pili katika bahari ya Mediteranea chenye eneo la km² 23,821.

Pamoja na visiwa vidogo vya karibu ni mkoa wenye katiba ya pekee wa Italia. Kwa sasa umegawanyika katika wilaya 8, lakini mwaka 2012 wananchi walipiga kura ya kuzifuta.

Kuna wakazi milioni 1.663 (2015).

Mji mkuu ni Cagliari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Mikoa ya Italia
Mikoa ya kawaida
Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto |
Mikoa yenye katiba ya pekee
Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sardinia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.