Papa Felix III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Felisi III.

Papa Felix III alikuwa papa kuanzia 13 Machi 483 hadi kifo chake tarehe 1 Machi 492. Alimfuata Papa Simplicio akafuatwa na Papa Gelasio I.

Kutokana na watoto aliowazaa kabla hajachaguliwa, walipatikana baadaye Papa Agapeto I (mjukuu) na Papa Gregori I.

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 1 Machi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Felix III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.