Kitukuu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitukuu (pia: mtukuu au kusukuu) ni mtoto wa mjukuu, bila kujali jinsia.[1]

Mtoto wake tena anaitwa kilembwe, na mjukuu wake kilembekweza, kilembwekeze au kining'ina.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "eLimu | Msamiati: Nasaba/ Ukoo". learn.e-limu.org. Iliwekwa mnamo 2022-04-12.