Nenda kwa yaliyomo

Kilembwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilembwe ni mtoto wa kitukuu, hivyo ni mmoja wa familia katika ukoo. Mtoto wake huitwa kilembwekeza au kining'ina, na mjukuu wake huitwa kitukutuku.

Makala hii kuhusu "Kilembwe" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.