Papa Gelasio I
Jump to navigation
Jump to search
Papa Gelasio I alikuwa Papa kuanzia tarehe 1 Machi 492 hadi kifo chake tarehe 19 Novemba 496.
Alimfuata Papa Felix III akafuatwa na Papa Anastasio II.
Alikuwa Papa wa tatu mwenye asili ya Afrika kaskazini.[1]
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 21 Novemba[2].
Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]
Kati ya mapapa wa karne za kwanza, ndiye aliyeandika zaidi.
- Opera Omnia katika Patrologia Latina ya Migne pamoja na faharasa
- Duo sunt: introduction and text in English
- Decretum Gelasianum: De Libris Recipiendis et Non Recipiendis Archived Agosti 20, 2008 at the Wayback Machine.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Browne, M. (1998). "The Three African Popes.". The Western Journal of Black Studies 22 (1): 57–58. http://www.questia.com/PM.qst?a=o&se=gglsc&d=5001392071. Retrieved 2008-04-10.
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Liber pontificalis
- Fontes Latinae de papis usque ad annum 530 (Papa Felix IV)
- Maisha yaliyoandikwa na Dionysius Exiguus, mwanafunzi wa Cassiodorus.
- Norman F. Cantor, Civilization of the Middle Ages.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gelasio I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |