Papa Innocent V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Inosenti V.

Papa Innocent V, O.P. (takriban 122522 Juni 1276) alikuwa papa kuanzia tarehe 21 Januari 1276 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre de Tarentaise.

Alikuwa mtawa wa shirika la Wahubiri.

Alimfuata Papa Gregori X akafuatwa na Papa Adrian V.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.