Savoie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ikulu ndogo ya Savoie, huko Chambéry.
Mahali pa Savoie katika Ufaransa.

Savoie ni wilaya (département (Kifaransa) au department (Kiingereza)) ya mkoa wa Rhône-Alpes ya Ufaransa.

Mji mkuu wake ni Chambéry.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Savoie kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.