Rhône-Alpes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hifadhi ya maji ya Aqualibi huko Walibi Rhône-Alpes


Rhône-Alpes
Nchi Bendera ya Ufaransa Ufaransa
Mji mkuu Lyon
Eneo
 - Jumla 43,698 km²
Tovuti:  http://www.rhonealpes.fr/

Rhône-Alpes ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Ufaransa. Mji mkuu wake ni Lyon.

Wilaya[hariri | hariri chanzo]

  1. Ain (01)
  2. Ardèche (07)
  3. Drôme (26)
  4. Isère (38)
  5. Loire (42)
  6. Rhône (69)
  7. Savoie (73)
  8. Haute-Savoie (74)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rhône-Alpes kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.