8 Januari
Jump to navigation
Jump to search
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 8 Januari ni siku ya nane ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 357 (358 katika miaka mirefu).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1198 - Uchaguzi wa Papa Inosenti III
- 1912 - kuanzishwa kwa "South African Native National Congress" nchini Afrika Kusini ambayo ni chama kitangulizi cha ANC
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1556 - Mtakatifu Yosefu wa Leonesa, O.F.M.Cap., padre na mmisionari kutoka Italia
- 1867 - Emily Balch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946
- 1891 - Walther Bothe, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954
- 1894 - Mtakatifu Maximilian Kolbe, O.F.M.Conv., padre mfiadini kutoka Poland
- 1917 - Peter Taylor, mwandishi kutoka Marekani
- 1935 - Elvis Presley, mwimbaji kutoka Marekani
- 1965 - Michelle Forbes, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1966 - Gianfranco Chiarini, mpishi wa Italia
- 1967 - R. Kelly, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1984 - Steven Kanumba, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1198 - Papa Celestino III
- 1324 - Marco Polo, mpelelezi kutoka Italia
- 1642 - Galileo Galilei, mwanafalaki kutoka Italia
- 1997 - Melvin Calvin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1961
- 2002 - Aleksander Prokhorov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Laurenti Giustinianiaskofu
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
| Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 8 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |