Papa Urban III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Urbano III.

Papa Urban III alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Novemba 1185 hadi kifo chake tarehe 19 Oktoba 1187.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Uberto Crivelli.

Alimfuata Papa Lucius III akafuatwa na Papa Gregori VIII.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.