Papa Felix I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Felix I

Papa Felix I alikuwa Papa kuanzia tarehe 5 Januari 269 hadi kifo chake tarehe 30 Desemba 274.

Alimfuata Papa Dionysius akafuatwa na Papa Eutychian.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 30 Desemba[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Felix I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.