Papa Alexander VIII
Jump to navigation
Jump to search
Papa Alexander VIII (22 Aprili 1610 – 1 Februari 1691) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6 Oktoba 1689 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pietro Vito Ottoboni.
Alimfuata Papa Inosenti XI akafuatwa na Papa Inosenti XII.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |