Papa Kornelio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Kornelio.

Papa Kornelio alikuwa Papa kuanzia tarehe 6 au 13 Machi 251 hadi kifodini chake mwezi wa Juni 253[1]. Alitokea Roma, Italia.

Alimfuata Papa Fabian akafuatwa na Papa Lucius I.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 16 Septemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Barua zake[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • "A bit of exorcist history." National Catholic Reporter 36.38 (Sept 1, 2000): 6. General OneFile. Gale. Sacred Heart Preparatory (BAISL). 5 Dec. 2008

<http://find.galegroup.com/ips/start.do?prodId=IPS>.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Kornelio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.