Demetriani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Demetriani (alifariki Bendosapore, Uajemi, 10 Novemba 260/261) alikuwa askofu wa 16 wa Antiokia kuanzia mwaka 253 hadi kifo chake, ingawa muda wote alikuwa uhamishoni na hatimaye gerezani kutokana na dhuluma ya mfalme Sapur I[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Gillman, Ian and Hans-Joachim Klimkeit. Christians in Asia before 1500 (Ann Arbor: University of Michigan Press, 1999), p. 30
  2. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.