William Phillips

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
William Phillips

William Daniel Phillips (amezaliwa 5 Novemba 1948) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza atomu kupitia kwa mionzi ya leza. Mwaka wa 1997, pamoja na Steven Chu na Claude Cohen-Tannoudji alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Phillips kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.