Paul Sabatier
Mandhari
Paul Sabatier (5 Novemba 1854 – 14 Agosti 1941) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa. Alichunguza sifa za elementi mbalimbali. Mwaka wa 1912 pamoja na Victor Grignard alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paul Sabatier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |