Felix wa Nicosia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Felisi akibeba mkoba ili kuombaomba.

Felix wa Nicosia, O.F.M.Cap. (jina la awali Filippo Giacomo Amoroso) alikuwa bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Sicilia, leo nchini Italia (5 Novemba 171531 Mei 1787).

Ni maarufu hasa kwa utiifu wake wa ajabu, uliothibitishwa na kiongozi aliyejichukulia jukumu la kumjaribu na kumdhalilisha kwa kila namna.[1]

Papa Leo XIII alimtangaza mwenye heri tarehe 12 Februari 1888, halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 23 Oktoba 2005.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]