Arnold Janssen
Mtakatifu Arnold Janssen (Goch 5 Novemba 1837 – Steyl 15 Januari 1909) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka nchi ya Ujerumani aliyeanzisha mashirika ya wamisionari wa kiume na wa kike.
Mwaka 2003 alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mtakatifu.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Biography - Society of the Divine Word
- Biography - Vatican News Service
- Catholic Encyclopedia: Arnold Janssen
- Biography and other resources
![]() |
Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arnold Janssen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |