Sam Shepard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Sam Shepard
Sam Shepard Stealth.jpg
Shepard mnamo 2005
Amezaliwa Samuel Shepard Rogers IV
5 Novemba 1943 (1943-11-05) (umri 73)
Illinois, Marekani
Kazi yake Mwandishi
Kipindi 1960-hadi leo
Ndoa O-Lan Jones
(1969–1984)

Samuel Shepard Rogers (amezaliwa 5 Novemba 1943) ni mchezaji na mwandishi wa micheza ya kuigiza kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa chini ya jina la Sam Shepard. Mwaka wa 1979 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa ajili ya tamthiliya yake iitwayo kwa Kiingereza Burning Child.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sam Shepard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.