Filomeno wa Ankara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Filomeno wa Ankara (alifariki Ankara, Galatia, katika Uturuki ya leo, 270/275) alikuwa Mkristo aliyekwenda Ankara kikazi akapata kufia dini yake huko katika dhuluma ya kaisari Aurelian kwa kutupwa motoni halafu kupigiliwa misumari miguuni, mikononi na kichwani [1]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi, na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 29 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.