Radbodo wa Utrecht
Mandhari
Radbodo wa Utrecht (pia: Radbod, Radboud, Redbad; karibu na Namur, leo nchini Ubelgiji, kabla ya 850 – Ootmarsum, leo nchini Uholanzi, 29 Novemba 917 hivi) alikuwa askofu wa mji huo tangu mwaka 899/900 hivi hadi alipofariki dunia wakati anatembelea wakulima kama kawaida yake.
Alikuwa maarufu kama mchungaji mwenye ujuzi na busara [1].
Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waortodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe 29 Novemba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- F. Rädle, "Bischof Radbod von Utrecht", Die deutsche Literatur des Mittelalters: Verfasserlexikon, 2e ed.; dl. 7: 962-965 (with a survey of Radboud's published writings)
- B. Ahlers, Die ältere Fassung der Vita Radbodi (Frankfurt-Bern, 1976)
- M. Carasso-Kok, Repertorium van verhalende historische bronnen uit de Middeleeuwen (Den Haag, 1981); kritisch overzicht van aan Radboud toegeschreven werken (nrs. 8, 18, 52, 53, 62, 80, 88, 89, 352) en van de heiligenlevens over Radboud (nr. 75)
- Vita Radbodi/ Het leven van Radboud, explained, delivered and translated by Peter Nissen and Vincent Hunink (Nijmegen 2004)
- A. G. Weiler, "Sint Radboud, bisschop van Utrecht [Deventer] van 899/900 tot 917. Pastor, geleerde, historicus, dichter en componist", Trajecta, tijdschrift voor geschiedenis van het katholiek leven in Nederland; 12 (2003) 97-115
- René Veenman, "Radbouds Over de zwaluw", in: Madoc; 19 (2005): 194-203
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |