Kazan wa Japani
Mandhari
Kazan (29 Novemba, 968 – 17 Machi, 1008) alikuwa mfalme mkuu wa 65 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Morasada, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Reizei. Mwaka wa 984 alimfuata mjomba wake, Tenno En'yu, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 986. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake, Ichijo. Baadaye mdogo wake, Sanjo, pia alikuwa Tenno.
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kazan wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |