Cuthbert Mayne
Mandhari
Cuthbert Mayne (1544 – 30 Novemba 1577) alikuwa mchungaji wa Kanisa la Anglikana nchini Uingereza kabla hajajiunga na Kanisa Katoliki na kupewa daraja takatifu ya upadri.
Hii ilimsababisha kuuawa chini ya sheria ya malkia Elizabeth I.
Mwaka 1970 alitangazwa na Papa Paulo VI kuwa mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[1].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Godfrey Anstruther, Seminary Priests, St Edmund's College, Ware, vol. 1, 1968, pp. 224–226.
- Bishop Challoner, Memoirs of Missionary Priests and other Catholics of both sexes that have suffered death in England on religious accounts from the year 1577 to 1684 (Manchester 1803) pp. 7ff.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |