David Goldblatt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

David Goldblatt (amezaliwa 29 Novemba 1930 mjini Johannesburg, Afrika Kusini) ni mpigapicha. Alipata tuzo Hasselbladspriset mwaka 2006.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Goldblatt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.