Nenda kwa yaliyomo

Game

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Game akiwa katika utayarishaji wa video yake.
Game akiwa katika utayarishaji wa video yake.
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Jayceon Terrell Taylor[1][2]
Pia anajulikana kama Chuck Taylor
Hurricane Game
Murda Game
Starface
Amezaliwa 29 Novemba 1979 (1979-11-29) (umri 45)
Los Angeles, California[1]
Asili yake Compton, California
Aina ya muziki West Coast hip hop
Kazi yake Rapa
Mwanamuziki
Mwigizaji
Studio Geffen
Interscope
The Black Wall Street
Ame/Wameshirikiana na The Black Wall Street
Snoop Dogg
Busta Rhymes
Dr. Dre
Nas
Keyshia Cole
Westside Connection
Lil Wayne
Kanye West
Tovuti www.ThisIzGame.com

Jayceon Terrell Taylor (amezaliwa tar. 29 Novemba 1979) ni rapa na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Game. Game alianza kujipatia umaarufu wake kunako mwaka wa 2005, pale alipotoa albamu yake ya kwanza " the documentary" iliyompatia mafanikio makubwa kabisa.the game pia yupo kwenye kikundi cha west coast ambacho pia wapo wakina snoop dogg na muazilishi wake tupac na imrani mashanga [3][4][5] Albamu ilikwenda kwa jina la The Documentary,na ikaweza kujishindia Tuzo mbili za Grammy ikiwa kama albamu bora ya rap na hip hop kwa mwaka wa 2005. Tangu hapo, akawa anafikiriwa kuwa anarudisha kwa nguvu ule muziki wa hip hop wa West Coast kwa mashindano na majigambo na baadhi ya rapa wengine wa East Coast.

Mbali na kutoa albamu ya kwanza na ya pili na pia kuweza kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard 200 bora, Game amepata kuhusishwa na masuala ya ugomvi na baadhi ya marapa wenzake. Muziki anaofanya ni ule muziki wa kihuni sana ambao mara nyingi unafanywa na kujulikana zao katika mji wa kwao wa huko Compton, California.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

game amezaliwa kwa jina la Jayceon Terrell Taylor huko los angeles, california na kukulia compton,california.Alitumia maisha yake mengi kukaa kwenye crip gang eneo ambalo linaitwa Santana Blocc.Ingawa alikulia kwenye jamiii ya bloods.Baada ya kumaliza shule ya secoundary compton mwaka 1999 the game alijiunga na chuo cha washington state kutokana na basketball lakini alifukuzwa shule wakati wa mwaka wa kwanza kutokana na madawa ya kulevyia hapa ndipo akaaanza maisha ya mtaani kwa kuuuza madawa ya kulevyia na pastola.Wakati akiwa na miaka kumi na nane the game alianza kufuata nyayo za kaka yake wa kambo big face 100ambaye alikuwa ni mkumbwa wa kundi lake linaloitwa Cedar Block Pirus.

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Albamu zake

[hariri | hariri chanzo]
Makala kuu ya: Albamu za The Game
Mwaka Jina la filamu Jina alilotumia Maelezo
2004 Grand Theft Auto: San Andreas B Dup Video game, sauti tu
Life in a Day: The DVD The Game kipande kidogo
2005 The Documentary DVD The Game
Beef 3 The Game kipande kidogo
2006 Stop Snitchin, Stop Lyin' DVD The Game
Waist Deep Big Meat
Doctor's Advocate DVD The Game
2007 Def Jam: Icon The Game Video game, sauti tu
Tournament of Dreams
Beef 4 The Game kipande kidogo
2008 Street Kings Grill
Belly 2: Millionaire Boyz Club G
  • BET Awards

2005, Mwanamiziki bora mpya [alichaguliwa] 2005, mshirikishaji bora wa nyimbo("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 cent [alichaguliwa]

  • Grammy Awards

2006, nyimbo bora ya rap ("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 Cent [alichaguliwa] 2006, uigizaji bora wa rap kwenye kundi ("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 Cent [alichaguliwa]

  • MTV Video Music Awards

2005,video bora ya rap ("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 Cent [alichaguliwa]

  • Ozone Awards

2008, Mwanamuziki bora wa west Coast rap [alishinda] 2007,Albumi bora ya West Coast rap("Doctor's Advocate") [alishinda]

  1. 1.0 1.1 Adaso, Henry. "Game". About.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-11-07. Iliwekwa mnamo 2008-08-06.
  2. "Game pleads not guilty in LA". USA Today. Associated Press. 2007-09-25. Iliwekwa mnamo 2008-08-06.
  3. Clover Hope (18 Februari 2007). "XXL Spotlights West Coast Hip-Hop In March Issue". Allhiphop. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-11-06. Iliwekwa mnamo 2008-08-25. {{cite web}}: Check date values in: |date= (help); Unknown parameter |accessmonthday= ignored (help); Unknown parameter |accessyear= ignored (|access-date= suggested) (help)
  4. Conan Milne (2005). "The West Coast Rap Up: 2005". Dubcnn. {{cite web}}: Unknown parameter |accessmonthday= ignored (help); Unknown parameter |accessyear= ignored (|access-date= suggested) (help)
  5. Kim Osorio (21 Machi 2006). "XXL Game: Playtime Is Over". BET. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-03-24. Iliwekwa mnamo 2008-08-25. {{cite web}}: Check date values in: |date= (help); Unknown parameter |accessmonthday= ignored (help); Unknown parameter |accessyear= ignored (|access-date= suggested) (help)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Game kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.