The Documentary

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The Documentary
The Documentary Cover
Kasha ya Albamu ya The Game.
Studio album ya The Game
Imetolewa 18 Januari 2005
Imerekodiwa 2004
Aina West Coast hip hop
Hardcore hip hop
Gangsta rap
Urefu 69:57
Lugha Kiingereza
Lebo Aftermath
G-Unit
Interscope
Mtayarishaji Dr. Dre
50 Cent (exec.)
Buckwild
Che Vicious
Cool & Dre
Danja
Eminem
Focus
Havoc
Hi-Tek
Jeff Bhasker
Jeff Reed
Just Blaze
Kanye West
Luis Resto
Mark Batson
Mike Elizondo
Needlz
Scott Storch
Timbaland
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za The Game
The Documentary
(2005)
Doctor's Advocate
(2006)
Kasha badala
Toleo maalum la kasha
Toleo maalum la kasha
Single za kutoka katika albamu ya The Documentary
  1. "Westside Story"
    Imetolewa: 28 Septemba 2004
  2. "How We Do"
    Imetolewa: 23 Novemba 2004
  3. "Hate It or Love It"
    Imetolewa: Februari 2005
  4. "Dreams"
    Imetolewa: 7 Juni 2005
  5. "Put You on the Game"
    Imetolewa: 30 Agosti 2005


The Documentary ni albamu ya kwanza kutolewa na rapa wa West Coast - The Game. Albamu ilitolewa mnamo tarehe 18 Januari 2005 kupitia studio ya Interscope Records. Ni baada ya kupata afadhali ya majelaha yake aliopigwa na risasi kunako mwishoni mwa mwaka wa 2001, The Game akajiendeleza na maswala yake ya kurap na akaja kugunduliwa na Dr. Dre, ambaye baadaye alimsajiri katika stuido yake ya Aftermath Entertainment.

Utayarishaji wa albamu hiyo haukuwekewa vizingiti kuwa Dr. Dre ndiye atakaye tayarisha tu, bali hata Kanye West na Timbaland nao walitia mikono yao, na kwa upande wa waimbaji alikuwemo 50 Cent, Nate Dogg, na Faith Evans

Albamu ya The Documentary imepata kutajwa kuwa ni albamu namba moja katika albamu 200 bora katika mauzo ya Billboard, kufikisha kiwango cha kuuza nakala 586,000 katika wiki ya kwanza. Na kuifanya albamu kupata platinamu mara mbili katika mwezi wa Machi mnamo mwaka wa 2005 na pia kuweza kuuza zaidi ya nakala milioni sita kwa hesabu ya dunia nzima.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Maelezo kuhusu albamu ya The Documentary yamechukuliwa kutoka katika 's marejeo ya albamu hii.[1]

# Jina Mtayarishaji(wa) Alioshirikishwa(wa) Mifano Muda
1 "Intro" Dr. Dre, Che Vicious "Down into the Magic" ya Donald Kerr 0:32
2 "Westside Story" Dr. Dre, Scott Storch 50 Cent 3:43
3 "Dreams" Kanye West "No Money Down" ya Jerry Butler 4:46
4 "Hate It or Love It" Cool na Dre 50 Cent "Rubberband" ya The Trammps 3:26
5 "Higher" Dr. Dre, Mark Batson 4:05
6 "How We Do" Dr. Dre, Mike Elizondo 50 Cent 3:55
7 "Don't Need Your Love" Havoc, Utayarishaji wa Ziada wa Dr. Dre Faith Evans "Not Gon Cry" ya Mary J. Blige 4:26
8 "Church for Thugs" Just Blaze 4:14
9 "Put You On The Game" Timbaland Timbaland 4:07
10 "The Documentary" Jeff Bhasker, kwa ushirkiano wa Jeff Reed 4:11
11 "Start From Scratch" Dr. Dre, Scott Storch Marsha Of Floetry 4:07
12 "Runnin'" Hi-Tek Tony Yayo, Dion 4:26
13 "No More Fun and Games" Just Blaze "You Can't Love Me, If You Don't Respect Me" ya Lyn Collins na "Gangsta, Gangsta" ya N.W.A 2:37
14 "We Ain't" Eminem, kwa ushirikiano wa Luis Resto Eminem "The Watcher" ya Dr. Dre, "One Day at a Time" ya Tupac Shakur, na "Patiently Waiting" ya 50 Cent 4:46
15 "Where I'm From" Focus Nate Dogg "Amanda" ya Dionne Warwick 3:08
16 "Special" Needlz Nate Dogg "Catherine Howard" ya Rick Wakeman 3:57
17 "Don't Worry" Dr. Dre, Mike Elizondo Mary J. Blige 4:11
18 "Like Father, Like Son" Buckwild Busta Rhymes "Mariya" ya The Family Circle 5:27
19 "Til' The Wheels Fall Off [*]" Mr. Porter Mr. Porter 3:17

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati za (2005)[2][3] Nafasi
iliyoshika
Australian Albums Chart 42
Austrian Albums Chart 44
Belgium Albums Chart 17
Canadian Albums Chart 1
Dutch Albums Chart 10
French Albums Chart 7
German Albums Chart 11
Irish Albums Chart 6
New Zealand Albums Chart 3
Norwegian Albums Chart 11
Swiss Albums Chart 8
UK Albums Chart 7
United World Chart 1
U.S. Billboard 200 1

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The Documentary (Compton Collector's Edition) Archived 27 Julai 2013 at the Wayback Machine.. Hurricane Game. Imeingizwa tar. 6 Januari 2008.
  2. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named acharts
  3. The Documentary Billboard Albums[dead link]. Allmusic. Imeingizwa mnamo 29 Septemba 2007.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]