Nenda kwa yaliyomo

West Coast hip hop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

West Coast hip hop ni aina ya muziki wa hip hop ambao umewazunguka wasanii wowote au muziki wowote wa hip hop wenye chimbuko la kanda ya magharibi mwa nchi ya Marekani. Japokuwa utamaduni wa muziki wa hip hop ulipewa jina lake huko mjini New York City, lakini bado huaminika na baadhi ya watu kwamba utamaduni ulijianzisha wenyewe kwa pande zote mbili, yaani, East na West coasts, kwa mtiririko sawa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu West Coast hip hop kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.