Dreams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Dreams”
“Dreams” cover
Single ya The Game
kutoka katika albamu ya The Documentary
Imetolewa 7 Juni 2005
Muundo CD
Imerekodiwa 2004
Aina Hip hop
Urefu 4:46
Studio G-Unit/Aftermath
Mtunzi The Game
Mtayarishaji Kanye West
Certification
Mwenendo wa single za The Game
"Hate It or Love It"
(2005)
"Dreams"
(2005)
"Playa's Only"
(2005)

"Dreams" ni wimbo kutoka katika albamu ya kwanza ya rapa The Game - The Documentary. Wimbo ilitolewa mnamo mwaka wa 2005, ikiwa chini ya utayarishaji wake Kanye West. Wimbo imechukua baadhi ya vionjo vya wimbo wa "No Money Down" ulioimbwa na Jerry Butler.

Wimbo ulitungwa kwa ajili ya Bi. Yetunde Price (dada mkubwa wa wachezaji nyota wa mpira wa tenisi - Serena Williams na Venus Williams), aliyeuawa kwa kupigwa risasi ya kichwa mnamo tar. 14 Septemba ya mwaka wa 2003. Familia ya Williams, nayo inatokea mahala palepale anapoishi na kuzaliwa rapa The Game katika mji wa Compton, California.

Video[hariri | hariri chanzo]

Mgeni mwalikwa[hariri | hariri chanzo]

Aliouza sura sana katika video hii ya dreams ni Dr. Dre pekee aliyeonekana mara kwa mara akirekebisha mitambo.

Marejeo katika muziki[hariri | hariri chanzo]

Katika wimbo wa Dreams, The Game ametaja watu wengi maarufu na albamu za muziki kama vile:

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dreams kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.