All Eyez on Me

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
All Eyez on Me
All Eyez on Me Cover
Studio album ya 2Pac
Imetolewa 13 Februari 1996
Imerekodiwa 1995-1996
Aina West Coast hip hop
Urefu 132:18
Lebo Death Row
Interscope Records
Mtayarishaji Suge Knight
DJ Quik, Dat Nigga Daz, DeVanté, DJ Pooh, Dr. Dre, Bobby "Bobcat" Ervin, Johnny "J", Mike Mosley, Doug Rasheed, Rick Rock, 2Pac
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za 2Pac
Me Against the World
(1995)
All Eyez on Me
(1996)
The Don Killuminati: The 7 Day Theory
(1996)
Single za kutoka katika albamu ya All Eyez on Me
  1. "California Love"
    Imetolewa: Desemba 1995
  2. "2 of Amerikaz Most Wanted"
    Imetolewa: Mei 1996
  3. "How Do U Want It"
    Imetolewa: 4 Juni 1996
  4. "All Bout U"
  5. "Life Goes On"
  6. "I Ain't Mad at Cha"
    Imetolewa: 15 Septemba 1996

All Eyez on Me, ni albamu mshindi-Grammy ya nne ya rapa wa West Coast, 2Pac. Ilitolewa mnamo tar. 13 Februari 1996, na kuuza nakala zaidi ya milioni 1 ndani ya masaa yake manne ya kutolewa, na kuifanya iwe albamu ya kwanza kwenda kwenye platinamu haraka sana hakuna tena.[2] Hii ilikuwa albamu ya mwisho kutolewa na 2Pac wakati wa maisha yake, akaja kufa miezi 7 kamili baadaye kunako tar. 13 Septemba katika mwaka wa 1996.

Albamu hii huhesabiwa kama moja kati ya kazi 2Pac zilizofanya vizuri hakuna, na huonekana kama moja kati ya albamu zilizopiga hatua kubwa kimafanikio katika muziki wa rap hasa kwa miaka ya 1990.[3] Ilikuwa ikiitwa kama "kazi bora ya 2Pac ambayo haijawahi kurekodiwa"[4]. About.com wataalamu wa rap wameipa All Eyez On Me nafasi ya 80 katika orodha yao ya albamu kali 100 za muda wote.[5] Kwa mujibu wa RIAA, albamu hii ni miongoni mwa albamu za rap ziliouza vizuri kwa muda wote, kwa kuuza zaidi ya nakala za albamu milioni 11 katika Marekani peke yake mnamo mwezi wa Aprili 1996. Albamu ilitunukiwa platinamu 12 mnamo mwezi wa Juni 1998 na RIAA. Albamu pia ilikuwa vibao vikali namba moja kwenye chati za Billboard 100: How Do U Want It na California Love.[6]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Book 1[hariri | hariri chanzo]

# Jina Mtayarishaji Walioshirikishwa Sampuli Muda
1 "Ambitionz Az a Ridah" Daz Dillinger 4:39
2 "All Bout U" Johnny "J", 2Pac Nate Dogg, Hussein Fatal, Yaki Kadafi, Dru Down na Snoop Dogg (Additional Vocals) ina visampuli kutoka katika wimbo wa "Candy" kama jinsi ilivyorekodiwa na Cameo 4:37
3 "Skandalouz" Daz Dillinger Nate Dogg Ina baadhi ya maneno kutoka katika wimbo wa "She's Strange" wa Cameo 4:09
4 "Got My Mind Made Up" Daz Dillinger Daz Dillinger, Kurupt, Method Man, Redman & Inspectah Deck (Additional Vocals) 5:13
5 "How Do U Want It" Johnny "J" K-Ci & JoJo contains a sample from "Body Heat" as recorded by Quincy Jones 4:47
6 "2 of Amerikaz Most Wanted" Daz Dillinger Snoop Dogg 4:07
7 "No More Pain" DeVanté Swing contains an interpolation from "Bring The Pain" by Method Man 6:14
8 "Heartz of Men" DJ Quik contains samples from "Darling Nikki" as recorded by Prince & The Revolution; "That Nigger's Crazy" as recorded by Richard Pryor; "Up For The Down Stroke" as recorded by Parliament. 4:43
9 "Life Goes On" Johnny "J" contains a sample from "Brandy (You're A Fine Girl)" as recorded by O'Jays. 5:02
10 "Only God Can Judge Me" Doug Rasheed, Harold Scrap Freddie Rappin' 4-Tay 4:57
11 "Tradin War Stories" Mike Mosley, Rick Rock C-Bo, Dramacydal & Storm contains a sample from "It's A Man's Man's Man's World" as recorded by James Brown. 5:29
12 "California Love" (Remix) Dr. Dre Dr. Dre, Roger Troutman (Additional Vocals) contains interpolations of "So Ruff So Tuff"; interpolation of "Joe Cocker"'s "Woman to Woman"; "Roger Troutman's "West Coast Poplock"; "Kleeer"'s "Intimate Connection" 6:25
13 "I Ain't Mad at Cha" Daz Dillinger Danny Boy contains a sample from "A Dream" by Debarge 4:53
14 "What'z Ya Phone #" Johnny "J", 2Pac Danny Boy contains a sample from "777-9311", as recorded by The Time and written by Prince. 5:10

Book 2[hariri | hariri chanzo]

# Jina Mtayarishaji Walioshirikishwa Sampuli Muda
1 "Can't C Me" Dr. Dre George Clinton 5:30
2 "Shorty Wanna Be a Thug" Johnny "J" contains a sample from "Wildflower", as recorded by Hank Crawford. 3:51
3 "Holla at Me" Bobby "Bobcat" Ervin and Dj Naya 4:56
4 "Wonda Why They Call U Bitch" Johnny "J", 2Pac 4:19
5 "When We Ride" DJ Pooh Outlaw Immortalz 5:09
6 "Thug Passion" Johnny "J", 2Pac Jewell, Dramacydal, Storm & DJ Quik (Additional Vocals) contains an interpolation from "Computer Love" by Zapp & Roger 5:08
7 "Picture Me Rollin'" Johnny "J" CPO, Danny Boy & Big Syke contains a sample from "Winter Sadness", as recorded by Kool & The Gang 5:15
8 "Check Out Time" Johnny "J" Kurupt & Big Syke 4:39
9 "Ratha Be Ya Nigga" Doug Rasheed Richie Rich contains a sample from "I'd Rather Be With You". 4:14
10 "All Eyez on Me" Johnny "J" Big Syke contains a sample from "Never Gonna Stop" by Linda Clifford 5:08
11 "Run Tha Streetz" Johnny "J", 2Pac Michel'le, Napoleon & Storm contains a sample from "Piece Of My Love", as recorded by Guy. 5:17
12 "Aint Hard 2 Find" Mike Mosley, Rick Rock B-Legit, E-40, D-Shot, C-Bo & Richie Rich 4:29
13 "Heaven Aint Hard 2 Find" QD3 Danny Boy 3:58

Single[hariri | hariri chanzo]

Maelezo ya Single
"California Love" [Non Album Single]
  • Imetolewa: 1995
  • B-side: H/N
"2 of Amerikaz Most Wanted"
  • Imetolewa: Mei 1996
  • B-side:H/N
"How Do U Want It"
"Life Goes On"
  • Imetolewa: 1996
  • B-side:H/N
"All About U"
  • Imetolewa: 1996
  • B-side:H/N
"I Ain't Mad at Cha"

Historia ya chati[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Chati (1996) Nafasi
iliyoshika
Australian Albums Chart[7] 19
French Albums Chart[8] 99
New Zealand Albums Chart[9] 15
Norwegian Albums Chart[10] 34
Swedish Albums Chart[11] 7
Swiss Albums Chart[12] 15
UK Albums Chart[13] 32
U.S. Billboard 200[14] 1
U.S. Top R&B/Hip-Hop Albums 1

Single[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Single Nafasi iliyoshika[15]
U.S. Billboard Hot 100 U.S. Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales U.S. Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks U.S. Hot Rap Singles U.S. Rhythmic Top 40 U.S. Top 40 Mainstream
1996 "California Love (Remix)" 1 1 2 34
"2 of Amerikaz Most Wanted"
"How Do U Want It" 1 1 23
"All Bout U"
"I Ain't Mad at Cha"
"Life Goes On"

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. XXL (2007). "Retrospective: XXL Albums". XXL Magazine, Desemba 2007 issue. 
  2. Have Gun Will Travel: The Spectacular Rise and Violent Fall of Death Row Records. Ronin Ro. Broadway Press 1998.
  3. XXLMagazine Oktoba 2004, Page 104
  4. All Eyez on Me AMG review
  5. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-04-13. Iliwekwa mnamo 2009-11-11.
  6. RIAA Gold and Platinum Search for All Eyez on Me. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-09-04. Iliwekwa mnamo 2009-11-11.
  7. australian-charts.com - 2 Pac - All Eyez On Me. Australian-Charts.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-01-24. Iliwekwa mnamo 2009-05-30.
  8. lescharts.com - 2 Pac - All Eyez On Me. LesCharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-05-30.
  9. charts.org.nz - 2 Pac - All Eyez On Me. charts.org.nz. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-03-17. Iliwekwa mnamo 2009-05-30.
  10. norwegiancharts.com - 2 Pac - All Eyez On Me. NorwegianCharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-05-30.
  11. swedishcharts.com - 2 Pac - All Eyez On Me. SwedishCharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-05-30.
  12. 2 Pac - All Eyez On Me - swisscharts.com. SwissCharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-05-30.
  13. Search Results -- Albums. everyHit.com. Iliwekwa mnamo 2009-05-24.
  14. allmusic ((( All Eyez on Me > Charts & Awards > Billboard Albums ))). Allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-05-24.
  15. allmusic ((( All Eyez on Me > Charts & Awards > Billboard Singles ))). Allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-05-24.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

All Eyez on Me katika All Music Guide


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu All Eyez on Me kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.