If My Homie Calls
Mandhari
“If My Homie Calls” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya 2Pac kutoka katika albamu ya 2Pacalypse Now | |||||
Imetolewa | 13 Februari 1992 | ||||
Imerekodiwa | 1991 | ||||
Aina | Rap | ||||
Urefu | 4:18 | ||||
Studio | Interscope | ||||
Mtunzi | T. Shakur | ||||
Mtayarishaji | Digital underground | ||||
Mwenendo wa single za 2Pac | |||||
|
"If My Homie Calls" ni kibao cha pili kutoka kwa msanii 2Pac. Kibao kinatoka katika albamu yake ya kwanza 2Pacalypse Now. Muziki wa video ulitengenezwa kwa ajili ya wimbo huu. Alipata kuuimba wimbo huu mwanzoni mwa miaka ya 1990 kwenye kipindi maarufu cha MTV Yo! MTV Raps.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- "If My Homie Calls (LP Version)"
- "Brenda's Got a Baby (Radio Mix)"
- "If My Homie Calls (Instrumental)"
- "Brenda's Got a Baby (Instrumental)"