Nenda kwa yaliyomo

Playa Cardz Right

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Playa Cardz Right”
“Playa Cardz Right” cover
Single ya Keyshia Cole featuring Tupac
kutoka katika albamu ya A Different Me na Pac's Life
Muundo CD single, music download
Imerekodiwa 2008
Aina R&B, hip hop soul
Urefu 4:53 (album version)
4:01 (single version)
4:33 (Pac's Life version)
Studio Geffen Records
Mtunzi T. Shakur, Keyshia Cole, J. Jackson, C. Haggins, I. Barias, Y. Fula, T. Himes & M. Harding
Mtayarishaji Ron Fair, Carvin & Ivan
Mwenendo wa single za Keyshia Cole single
"Game's Pain"
(2008)
"Playa Cardz Right"
(2008)
"You Complete Me"
(2009)
Mwenendo wa singles za Tupac singles
"Pac's Life"
(2006)
"Playa Cardz Right"
(2008)

"Playa Cardz Right" ni wimbo wa mwimbaji wa R&B Keyshia Cole ambao ulitolewa ukiwa kama single kiongozi kutoka katika albamu yake ya tatu A Different Me. Wimbo umemshirikisha rapa 2Pac. Wimbo pia upo kwenye albamu ya 2Pac ya mwaka wa 2006, Pac's Life.

Wimbo ulitayarishwa na Ron Fair na Carvin & Ivan. Muziki wa video wa wimbo ulianza kuoneshwa kwenye Access Granted ya BET mnamo tar. 30 Oktoba 2008.

Remixi yake imemshirikisha rafiki yake 2Pac na mwanachama wa Outlawz Hussein Fatal akiwa na Keyshia Cole na 2Pac.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chart (2008)[1] Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard Hot 100 63
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 9
UK Singles Chart 32

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. ""Keyshia Cole discography". http://www.billboard.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-14. Iliwekwa mnamo 2010-06-29. {{cite web}}: External link in |publisher= (help)