Still I Rise
Jump to navigation
Jump to search
Still I Rise | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||
Studio album ya 2Pac & the Outlawz | |||||
Imetolewa | 14 Desemba 1999 | ||||
Imerekodiwa | 1996-1999 | ||||
Aina | West Coast hip hop, hip hop ya kisiasa | ||||
Urefu | 72:45 | ||||
Lebo | Amaru/Death Row/Interscope Records | ||||
Mtayarishaji | Daz, Johnny "J", Kurupt, Tony Pizarro, QDIII, Quimmy Quim, Soulshock, Damon Thomas, 2Pac | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Mwenendo wa album za 2Pac | |||||
|
|||||
Mwenendo wa album za Outlawz | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Still I Rise | |||||
|
Still I Rise ni albamu ya 2Pac na kundi lake la The Outlawz ukiondoa mwanachama Hussein Fatal. Fatal ameondoka kundini kwa sababu Outlawz wengine wameingia mkataba na Death Row baada ya Tupac kusema siyo lazima kuingia mkataba na Amaru Records; Napoleon baadaye alifuata. Albamu ina maujanja ambayo awali hayakutolewa na nyimbo nyingine kali za 2Pac. Ilitolewa mnamo tar. 21 Desemba 1999, na Interscope Records, chini ya studio ya Death Row. Albamu ilitunukiwa platinamu mara mbili na RIAA,[1] kwa kuuza nakala milioni 2.5.
Orodha ya Nyimbo[hariri | hariri chanzo]
# | Jina | Mtayarishaji | Mwimbaji | Sample | Urefu |
---|---|---|---|---|---|
1 | "Letter to the President" | QD III |
|
6:03 | |
2 | "Still I Rise" | Johnny J |
|
4:45 | |
3 | "Secretz of War" | Johnny J |
|
4:15 | |
4 | "Baby Don't Cry (Keep Ya Head Up II)" | 2Pac, Soulshock & Karlin |
|
4:22 | |
5 | "As the World Turns" | Darryl "Big D" Harper |
|
|
5:08 |
6 | "Black Jesuz" | 2Pac & L Rock Ya |
|
4:29 | |
7 | "Homeboyz" | Daz Dillinger |
|
3:38 | |
8 | "Hell 4 a Hustler" | Damon Thomas |
|
4:56 | |
9 | "High Speed" | Darryl "Big D" Harper |
|
5:59 | |
10 | "The Good Die Young" | Darryl "Big D" Harper |
|
5:42 | |
11 | "Killuminati" | Tony Pizarro |
|
4:02 | |
12 | "Teardrops and Closed Caskets" | QD III |
|
|
5:05 |
13 | "Tattoo Tears" | Kurupt |
|
5:02 | |
14 | "U Can Be Touched" | Johnny J |
|
|
4:23 |
15 | "Y'all Don't Know Us" | Quimmy Quim & Reef |
|
4:55 |
Chati[hariri | hariri chanzo]
Albamu[hariri | hariri chanzo]
Chati (1999) | Nafasi |
---|---|
U.S. Billboard 200 | 6 |
U.S. Billboard Top R&B/Hip Hop Albums | 2 |
Single[hariri | hariri chanzo]
Mwaka | Wimbo | Billboard Hot 100 | Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks |
---|---|---|---|
1999 | "Baby Don't Cry (Keep Ya Head Up II)" | 72 | 36 |
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Still I Rise kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |