Papa'z Song
Mandhari
“Papa'z Song” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya 2Pac kutoka katika albamu ya Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. | |||||
Imetolewa | 17 Machi 1994 | ||||
Muundo | CD Single/Cassette | ||||
Imerekodiwa | 1993 | ||||
Aina | Rap | ||||
Urefu | 5:26 | ||||
Studio | Interscope | ||||
Mtunzi | Tupac Shakur | ||||
Mtayarishaji | Big D The Impossible | ||||
Mwenendo wa single za 2Pac | |||||
|
"Papa'z Song" ni jina la kutaja wimbo wa Tupac Shakur kutoka katika albamu yake ya pili, Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. Video yake ilitengenezwa kwa ajili ya single. Wimbo ulishika nafasi ya #24 kwenye chati za Rap nchini Marekani, #82 kwenye chati za Hip Hop/R&B na #87 kwenye chati za Billboard Hot 100.
Wimbo umemshirikisha Mopreme Shakur almaarufu kama Wycked, Kaka'ke mkubwa wa kufikia Tupac Shakur na ni mtoto wa Mutulu Shakur.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- "Papa'z Song"
- "Dabastard's Remix"
- "Vibe Tribe Remix"
- "Peep Game" feat Deadly Threat
- "Cradle To the Grave"
Makala 1990s song-related bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |