Tupac Shakur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Tupac: Assassination)
Jump to navigation Jump to search
Tupac Shakur
Jina la kuzaliwaTupac Amaru Shakur
Pia anajulikana kama2Pac, Pac, Makaveli, MC New York
Amezaliwa(1971-06-16)Juni 16, 1971
East Harlem, Manhattan
New York City, New York, U.S.
Amekufa13 Septemba 1996 (umri 25)
Las Vegas, Nevada, U.S.
Kazi yakeRapper, mwigizaji, mtayarishaji wa rekodi, mshairi, mwandishi-skrini, mwanaharakati, mtunzi
Miaka ya kazi1988–1996
StudioDeath Row, Interscope
Ameshirikiana naOutlawz, Thug Life, Danny Boy, Digital Underground, Dr. Dre, Johnny "J",Ice Cube, Nate Dogg, The Notorious B.I.G., Snoop Dogg
Wavutiwww.2Pac.com

Tupac Amaru Shakur (16 Juni 1971 - 13 Septemba 1996) alikuwa mwigizaji, mwanaharakati wa haki za binadamu, na pia mwanamuziki maarufu wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama 2Pac. Ni mmoja kati ya wasanii wa hip hop waliouza rekodi nyingi za muziki dunia.

Huyu alikuwa mtoto wa Afeni Shakur, ambaye alikuwa mwanachama wa chama cha Black Panther Party. Mama yake Tupac alitolewa jela mwezi mmoja kabla ya kumzaa Tupac. Tupac alikufa mnamo tar. 13 Septemba katika mwaka wa 1996 baada ya kupigwa risasi akiwa anaendesha gari mjini Las Vegas, Nevada, siku saba kabla kifo chake.

Mara nyingi aliitwa 2Pac, Pac, Makaveli na pia mwenyewe akajiita The Don Kiluminati. Tupac, pia alishawahi kuishikiria Guinness World Record kwa kuwa na mauzo ya juu sana kwa msanii wa muziki wa rap/hip hop. Alipata mauzo takriban milioni 74 kwa hesabu ya dunia nzima na milioni 44 kwa mauzo ya Marekani pekee.

Sanaa[hariri | hariri chanzo]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Studio albamu zake[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Albamu Nafasi iliyoshika
[1][2][3][4][5]
Matunukio
[6][7][8]
US US R&B US CAN
1991 2Pacalypse Now 64 13 Gold
1993 Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. 24 4 Platinum
1995 Me Against the World 1 1 2× Platinum
1996 All Eyez on Me 1 1 9× Platinum Platinum
1996 The Don Killuminati: The 7 Day Theory 1 1 4× Platinum Gold

Albamu Zilizotolewa Akiwa Kafa[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Albamu Nafasi iliyoshika
[9][10][5]
Certifications
[6][6][8]
US US R&B US CAN
1997 R U Still Down? (Remember Me) 2 1 4× Platinum
2001 Until the End of Time 1 1 3× Platinum 2× Platinum
2002 Better Dayz 5 1 2× Platinum 3× Platinum
2004 Loyal to the Game 1 1 Platinum
2006 Pac's Life 9 3
2010 Shakurspeare[11]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina la filamu Jina alilotumia Maelezo mengine
1991 Nothing But Trouble Himself (Brief appearance)
1992 Juice Bishop First starring role
1992 Drexell's Class Himself Season 1: "Cruisin'"
1993 A Different World Piccolo Season 6: "Homie, Don't You Know Me?"
1993 Poetic Justice Lucky Co-starred with Janet Jackson
1993 In Living Color Himself Season 5: "Ike Turner and Hooch"
1994 Above the Rim Birdie Co-starred with Duane Martin
1995 Murder Was the Case: The Movie Himself (Uncredited)
1996 Bullet Tank Released one month after Shakur's death
1997 Gridlock'd Ezekiel 'Spoon' Whitmore Released several months after Shakur's death
1997 Gang Related Detective Rodríguez Shakur's last performance in a film
2003 Tupac: Resurrection Himself Official documentary film
2008 Live 2 Tell Himself Expected in 2008
2009 Notorious Himself (archive footage) Portrayed by Anthony Mackie
2009 Untitled Tupac Shakur Biopic Himself (Announced)[12]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tupac Shakur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.