Nenda kwa yaliyomo

A 2Pac Tribute: Dare 2 Struggle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
A 2Pac Tribute: Dare 2 Struggle
A 2Pac Tribute: Dare 2 Struggle Cover
Studio album ya Dr. Mutulu Shakur
Imetolewa Juni 16, 2006
Aina Rap
Lebo First Kut/Lyrical Knockout
Mtayarishaji Dr. Mutulu Shakur
Raoul Juneja (aka Deejay Ra)


A 2Pac Tribute: Dare 2 Struggle ni jina la albamu iliyotolewa kwa lengo la kumuenzi kioo cha muziki wa hip hop hayati Tupac Shakur.[1][2]

Dr. Mutulu Shakur (baba asiyemzazi wa Tupac) alitoa albamu hii kama kumbukumbu ya miaka 35 ya kuzaliwa kwa Tupac na maadhimisho ya miaka kumi ya kufa kwake. Albamu umeshirikisha marapa mbalimbali walio jela na wengine wa nje, ikiwa ni pamoja na watoto wa Mutulu Shakur, Mopreme Shakur na Nzingha, vilevile Outlawz, TQ, Slick, Imaan Faith na T-Jay. Awali ilitungwa kabla kuuawa Tupac 1996, wakati yeye na Mopreme walipoenda kumtembelea baba yao jela na kuandika "Thug Code" kwa lengo la kujaribu kupunguza vitendo vya kihuni.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

# JinaWasanii Wanaoimba Urefu
1. "PSA (Public Service Announcement)"  Dr. Mutulu Shakur  
2. "Straight Ahead"  Mopreme Shakur  
3. "Blessings"  Outlawz  
4. "Since You've Been Gone"  SLICK  
5. "Enemies Of The State (imerekodiwa jela)"  S.C.U. [Solitary Confinement Unit]  
6. "Never Give Up"  Legacy  
7. "The Truth (From prison & outside)"  Strap, Imaan Faith  
8. "Thug Code (kutoka jela)"  S.C.U.  
9. "Still"  T-Jay  
10. "The First Teardrop (kutoka jela na nje)"  S.C.U.  
11. "Listen"  TQ  
12. "The Struggle"  P.O.W. [Prisoners of War]  
13. "Missing In Action"  S.C.U.  
14. "For Tupac Amaru"  Dr. Mutulu Shakur  

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]