Thugs Get Lonely Too

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Thugs Get Lonely Too”
“Thugs Get Lonely Too” cover
Single ya 2Pac akishirikiana na Nate Dogg
kutoka katika albamu ya Loyal to the Game
Imetolewa 2004
Muundo 12" single, CD
Imerekodiwa 1994/2004
Aina G-Funk
Hip-hop
West Coast hip hop
Gangsta Rap
Urefu 4:48
Studio Interscope
Mtunzi T. Shakur
Mtayarishaji Eminem
Mwenendo wa single za 2Pac akishirikiana na Nate Dogg
"One Day at a Time (Em's Version)"
(2004)
"Thugs Get Lonely Too"
(2004)
"Ghetto Gospel"
(2005)
Mwenendo wa single za Nate Dogg
"Time's Up" wa Jadakiss
(2004)
"Thugs Get Lonely Too"
(2004)
"Groupie Love" wa 213
(2004)

"Thugs Get Lonely Too" kilikuwa kibao cha kwanza cha 2Pac kutoka katika albamu yake ya Loyal to the Game. Kibao kinaunganishwa na Nate Dogg akiimba katika upande wa kiitikio na kimetayarishwa na Eminem. Kilifikia nafasi ya #55 kwenye chati za Hot R&B/Hip-Hop Songs na nafasi ya #98 kwenye chati za Billboard Hot 100. Hakuna muziki wa video wa rasmi uliotengenezwa kwa ajili ya wimbo huu. Mwaka wa 1996, Tech N9ne amerekodi mstari mmoja kwa ajili ya wimbo huu wakati anaishi na QDIII, ambaye kwa kipindi hicho aliweka kazi yake juu ya R U Still Down? (Remember Me).

Toleo la awali la "Thugs Get Lonely Too" limechukua sampuli ya wimbo wa "If I Was Your Girlfriend" wa Prince. Jina la wimbo pia linafana kabisa na kibao kiitwacho 'Gigolos Get Lonely Too' w The Time, uliotungwa na Prince.

Pia kuna toleo ambalo halikutolewa lina-kwenda kwa jina la "Thugs Get Lonely 2" ambalo lilikuwepo tangu siku za mwanzo za 2pac ambalo pia limemshirikisha rapa kutoka mjini Kansas City, Tech N9ne.

UK CD single
# JinaMtunzi (wa)Mtayarishaji Urefu
1. "Thugs Get Lonely Too" (akim. Nate Dogg) Eminem 4:48
2. "Hennessey" (Red Spyda remix) (feat. E.D.I. and Sleepy Brown) Red Spyda 3:18