Jedwali hili linahitaji kupanuliwa kwa kutumia Nathari. Tazama mwongozo kwa maelezo zaidi.
The Rose, Vol. 2 ni jina la kutaja albamu ya mwaka wa 2005 yenye mtindo wa ushairi wa Tupac Shakur. Albamu hii imeshehena muundo halisi wa sanaa ya ushairi wa rekodi za muziki wa Tupac, wengine ni wanaojulikana ni pamoja na Ludacris na Bone Thugs n Harmony. Mashairi ya Tupac yamenukuliwa, kuimbwa au imetumika kama kivutio kwa ajili ya kila wimbo wa katika albamu hii.
Hii ni albamu ya pili ya Tupac yenye mashairi ambayo yamewahi kutolewa; ya kwanza, The Rose that Grew from Concrete, ina mashairi ya Tupac ambayo yanasikika na kuimbwa na waimbaji wengine wa muziki.