The Rose That Grew from Concrete
Mandhari
(Elekezwa kutoka The Rose that Grew from Concrete)
The Rose That Grew from Concrete | |||||
---|---|---|---|---|---|
Compilation album (Poetry Album) ya 2Pac | |||||
Imetolewa | 7 Oktoba 2000 | ||||
Imerekodiwa | 2000 | ||||
Aina | Poetry | ||||
Urefu | 70:46 | ||||
Lebo | Amaru/Interscope | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
RapReviews.com link |
|||||
Wendo wa albamu za 2Pac | |||||
|
The Rose That Grew from Concrete ni albamu inayotokana na mashairi ya Tupac Shakur, ilitolewa mnamo 2000. Albamu imeshirikisha washiriki mashuhuri wengi wanaosoma na kuandika mashairi ya Shakur, hasa kwa matamshi ya maneno ya albamu kiroho.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- "Tupac Interlude" – 0:57
- "Wake Me When I'm Free" (Akishirikishwa Babatunde Olatunji) – 5:52
- "Can U C The Pride In The Panther (Male Version)" (Akishirikishwa Mos Def) – 4:54
- "When Ure Heart Turns Cold" (Akishirikishwa Sonia Sanchez) – 1:38
- "U R Ripping Us Apart" (Akishirikishwa Dead Prez) – 5:12
- "Tears of a Teenage Mother" (Akishirikishwa Jasmine Guy) – 4:39
- "God" (Akishirikishwa Reverend Run) – 4:48
- "And Still I Love You" (Akishirikishwa Red Rat) – 3:58
- "Can U C The Pride In The Panther (Female Version)" (Akishirikishwa Mos Def) – 3:59
- "If There Be Pain" (Akishirikishwa Providence & RasDaveed El Harar) – 4:45
- "A River That Flows Forever" (Akishirikishwa Danny Glover, Afeni Shakur & The Cast of The Lion King) - 2:20
- "The Rose That Grew from Concrete" (Akishirikishwa Nikki Giovanni) - 2:35
- "In The Event of My Demise" (Akishirikishwa The Outlawz & Geronimo Ji Jaga) - 4:41
- "What of a Love Unspoken" (Akishirikishwa Tre) - 3:16
- "Sometimes I Cry" (Akishirikishwa Dan Rockett) - 3:10
- "The Fear in the Heart of Man" (Akishirikishwa Q-Tip) - 4:16
- "Starry Night" (Akishirikishwa Quincy Jones, Mac Mall & Rashida Jones) - 4:33
- "What of Fame" (Akishirikishwa Russell Simmons) - 0:21
- "Only 4 the Righteous" (Akishirikishwa Rha Goddess) - 2:29
- "Why Must You Be Unfaithful" (Akishirikishwa Sarah Jones) - 1:12
- "Wife 4 Life" (Akishirikishwa 4th Avenue Jones & KCI) - 4:06
- "Lady Liberty Needs Glasses" (Akishirikishwa Malcolm Jamal Warner) - 2:23
- "Family Tree" (Akishirikishwa Lamar Antwon Robinson & The IMPACT Repertory Theatre) - 3:21
- "Thug Blues" (Akishirikishwa Lamar Antwon Robinson, Tina Thomas Bayyan & The IMPACT Repertory Theatre) - 4:46
- "The Sun and the Moon" (Akishirikishwa Chief Okena Littlehawk) - 1:56
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu The Rose That Grew from Concrete kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |