Nenda kwa yaliyomo

Unconditional Love

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Unconditional Love”
“Unconditional Love” cover
Single ya 2Pac
kutoka katika albamu ya Greatest Hits na Family Affair (albamu) ya MC Hammer
Imetolewa 1998
Muundo CD
Aina Hip hop
Studio Interscope/Amaru/Death Row
Mtunzi Tupac Shakur
Mwenendo wa single za 2Pac
"Happy Home" "Unconditional Love" "Baby Don't Cry (Keep Ya Head Up II)"

"Unconditional Love" ni wimbo ulioimbwa na hayati Tupac Shakur, ulitolewa ukiwa kama single ya pili kutoka katika albamu yake ya Greatest Hits. Changes ukiwa wa kwanza, "Changes" na "Unconditional Love" zote zilitengenezewa video zake. CD ya single ni adimu sana, kama jinsi ilivyo kwenye CD nyingine nyingi tu za Tupac Shakur CD na single za Vinyl. Haikuwahi kutolewa rasmi kwenye toleo lisilokaguliwa.

Awali wimbo ulitungwa na 2Pac kwa ajili ya MC Hammer (ambao wote wawili walikuwa marafiki) ili kukuza taswira yake alipoingia mkataba na Death Row. Hata hivyo, 2Pac aliishia kuurekodi wimbo mwenyewe kabla hajatoa wimbo kwa MC Hammer kuurekodi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]