Me Against the World
Me Against the World | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Studio album ya 2Pac | |||||||||||
Imetolewa | 14 Machi 1995 | ||||||||||
Imerekodiwa | Novemba 1994 – Januari 1995 | ||||||||||
Aina | West Coast hip hop, hip hop, hip hop ya kisiasa | ||||||||||
Urefu | 65:57 | ||||||||||
Lebo | Interscope/Atlantic Records | ||||||||||
Mtayarishaji | Easy Mo Bee, Sam Bostic, D-Flizno Production Squad, Brian G, Shock G, Johnny "J", Mike Mosley, Tony Pizarro, Soulshock & Karlin, Le-morrious "Funky Drummer" Tyler, Moe Z.M.D. | ||||||||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||||||||
|
|||||||||||
Wendo wa albamu za 2Pac | |||||||||||
|
Me Against the World ni albamu ya tatu ya msanii wa muziki wa hip hop wa Kimarekani, 2Pac. Albamu ilitolewa tarehe 14 Machi 1995 kwenye studio ya Interscope Records.
Albamu ilirekodiwa katika majuma kadhaa kabla msanii hajaendala jela kwa kosa la kumtukana mtu matusi ya nguoni - wakati wa kesi hiyo mnamo mwaka wa 1993 ambayo kulikuwa na mwanamke mmoja wengine wawili ambao wanadai walidhalilishwa na huyu bwana. Ilikuwa hii iliopelekea kifungo cha jela na wengi wanaamini kwamba hii ndiyo iliomwinua kisanaa 2Pac kwenye rekodi, na maujanja yake inaaminika kuwa na alama zaidi za "kukiri," "kutafakari," na "majadilliano-enye moyo safi."[1]
Me Against the World, ilitolewa wakati Tupac yupo jela, ikafanya mgongano wa haraka kwenye chati, ikapanda mpaka nafasi ya kwanza mara tu baada ya kutolewa kwake, na kumfanya 2Pac kuwa msanii wa kwanza kuingiza albamu nafasi ya kwanza kwa mara ya kwanza kwenye chati za Billboard 200 wakati anatumikia kifungo chake jela. Albamu pia ilikuwa ni moja kati ya albamu za 2Pac ambazo zimepokea tathmini nzuri na kuwa na mashabiki wengi na umaarufu kwa ujumla, yenye wengi huiita juhudi yake bora ya kazi yake, na moja kati ya albamu kali za hip hop za muda wote.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Mwaka wa 1993, Tupac Shakur tayari alishakuwa na mafanikio katika tasnia ya muziki wa hip hop, akiwa na sifa au hati za uthibitisho mbili za dhahabu kwa ajili ya single zake zilizompeleka katika ishirini bora kwa chati za pop ("I Get Around", "Keep Ya Head Up"), na mauzo ya platinum kwa albamu mbili ambazo zimeweza kushika ishirini-na-tano bora za Billboard 200 (Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z.).[2][3] Hata hivyo, msanii huyu mwenye umri wa miaka 22 amepata kuwa na mfululizo wa matukio na kushtakiwa kwa makosa kadha wa kadha ya uvunjaji wa sheria.
Wakati wa kiangazi cha mwaka wa 1993, Shakur alishtakiwa kwa kosa la kumshambulia mwongozaji Allen Hughes wakati wanapiga filamu ya Menace II Society; Shakur baadaye akahukumiwa kifungo cha siku 15 jela. Baadaye, mnamo mwezi wa Oktoba 1993, Shakur alishtakiwa kwa kosa la kuwatandika maofisa wawili wa polisi ambao walikuwa hawapo-kazini huko mjini Atlanta, kulingana na jinsi mashtaka yaliyo hatimaye kesi ikafutwa.
Mnamo mwezi wa Novemba, Shakur na wenzake wawili wa katika msafara wake walishtakiwa kwa kosa la ubakaji wa mshabiki wao wa kike, tukio ambalo walikutwa na makosa na hatimaye kutumikia kifungo cha miaka 4.5 jela.[4] Kulingana na maelezo ya Shakur, albamu ilitengenezwa kwa ajili ya kuonesha wapenzi wa hip hop heshima zake katika sanaa hiyo. Kimashairi, Shakur kimakusudi alijaribu kutengeneza hii kibinafsi zaidi, makini, na juhudi kupita albamu zile za awali.[5]
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]# | Jina | Muda | Mtayarishaji | Mwimbaji | Sampuli[6] |
---|---|---|---|---|---|
1 | "Intro" | 1:40 | Tony Pizarro | Sarah Diamond, Debby Hambrick, Jay Jensen, Jill Jones, Dan O'Leary | |
2 | "If I Die 2Nite" | 4:01 | Easy Mo Bee | 2Pac |
|
3 | "Me Against the World" | 4:40 | Soulshock & Karlin | 2Pac, Dramacydal |
|
4 | "So Many Tears" | 3:59 | Shock G | 2Pac |
|
5 | "Temptations" | 5:00 | Easy Mo Bee | 2Pac |
|
6 | "Young Niggaz" | 4:53 | Le-morrious "Funky Drummer" Tyler, Moe Z.M.D. | 2Pac |
|
7 | "Heavy in the Game" | 4:23 | Sam Bostic, Mike Mosley | 2Pac, Lady Levi, Richie Rich |
|
8 | "Lord Knows" | 4:31 | Brian G | 2Pac |
|
9 | "Dear Mama" | 4:39 | Tony Pizarro | 2Pac |
|
10 | "It Ain't Easy" | 4:53 | Tony Pizarro | 2Pac | |
11 | "Can U Get Away" | 5:45 | Mike Mosley | 2Pac |
|
12 | "Old School" | 4:40 | Soulshock | 2Pac |
|
13 | "Fuck the World" | 4:13 | Shock G | 2Pac | |
14 | "Death Around the Corner" | 4:07 | Johnny "J" | 2Pac |
|
15 | "Outlaw" | 4:32 | Moe Z.M.D. | 2Pac, Dramacydal |
Historia ya chati
[hariri | hariri chanzo]Albamu
[hariri | hariri chanzo]Chati (1996) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australian Albums Chart[7] | 40 |
Swedish Albums Chart[8] | 40 |
U.S. Billboard 200 | 1 |
U.S. Top R&B/Hip-Hop Albums | 1 |
Single
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Single | Nafasi | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
U.S. Billboard Hot 100 | U.S. Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales | U.S. Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | U.S. Hot Rap Singles | U.S. Rhythmic Top 40 | ||||||||
1995 | "Dear Mama" | 9 | 1 | 3 | 1 | 16 | ||||||
"So Many Tears" | 44 | 41 | 21 | 6 | — | |||||||
"Temptations" | 68 | — | 35 | 13 | — |
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Huey, Steve. "Me Against the World Overview at Allmusic". Allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-03-16.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ "RIAA - Gold & Platinum - May 13, 2009 : Search Results - 2 Pac". RIAA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-16. Iliwekwa mnamo 2009-05-14.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ [Me Against the World katika Allmusic "allmusic ((( Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. > Charts & Awards > Billboard Singles )))"]. Allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-05-14.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help) - ↑ [Me Against the World katika Allmusic "allmusic ((( 2Pac > Biography )))"]. Allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-05-14.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help) - ↑ Ali, Hoye, 166.
- ↑ "Rap Sample FAQ - Quick FAQ Search: Tupac". The-Breaks.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-04-17. Iliwekwa mnamo 06-02-2009.
{{cite web}}
: Check date values in:|accessdate=
(help); Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ "australian-charts.com - 2 Pac - Me Against The World". Australian-Charts.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-02-13. Iliwekwa mnamo 2009-05-30.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ "swedishcharts.com - 2 Pac - Me Against The World". SwedishCharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-05-30.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Ali, Karolyn; Hoye, Jacob. Tupac: Resurrection 1971 - 1996. New York: Atria Books, 2003. ISBN 0-7434-7434-1.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Me Against the World katika All Music Guide
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Me Against the World kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |