ARIA Charts

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

ARIA Charts ni chati ya rekodi ya mauzo ya muziki wa Kiaustralia, hutolewa kila wiki na Australian Recording Industry Association. Chati hizi huchukua rekodi ya mauzo ya juu ya single na albamu za aina mbalimbali ya muziki huko nchini Australia. ARIA ilianzisha chati zake yenyewe mwishoni mwa wiki ya mwisho ya 26 Juni mnamo mwaka wa 1988. Kabla ya hii, katikati mwa miaka ya 1983, ARIA wakapata hatimiliki ya kutoa ripoti ya chati ya 'Kent Music Report' (ambayo baadaye ilibadilishwa jina na kuitwa 'Australian Music Report', hadi hapo liliposimamisha shughuli zake za uchapishaji mnamo mwaka wa 1999).

Chati za ARIA ni pamoja na:

 • Weekly Top 100 mauzo ya juu ya muziki
 • Weekly Top 100 mauzo ya juu ya albamu za muziki
 • Weekly Top 40 mauzo ya juu ya DVD za muziki
 • Weekly Top 50 mauzo ya juu ya single moja-moja
 • Weekly Top 50 mauzo ya juu ya albamu moja-moja
 • Weekly Top 40 mauzo ya juu ya nyimbo za dijitali
 • Weekly Top 40 mauzo ya juu ya matoleo ya "mijini"
 • Weekly Top 20 mauzo ya juu ya matoleo ya dansi
 • Weekly Top 20 mauzo ya juu ya matoleo ya kinchi
 • Weekly Top 50 mamixi ya DJ yaliyofanywa na MaDj waliosajiliwa
 • Yearly Top 100 End of Year kutathmini chati za muziki kila mwaka

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu ARIA Charts kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.