Hatimiliki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hatimiliki (kutoka maneno ya Kiarabu; kwa Kiingereza: title deed, deed au zamani evidence[1]) ni hati yoyote inayothibitisha kuwa mtu ana haki juu ya kitu fulani kama mmiliki wake au kwa namna nyingine yoyote. Mara nyingi ni hati inayothibitisha haki juu ya sehemu ya ardhi au kiwanja.

Umbo la hati hutegemea sheria za nchi mbalimbali.[2][3]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. O'Connor, E. Rory (1987). The Irish Notary. Dublin: Professional Books. p. 83. 
  2. Contract under Seal Law & Legal Definition. Jalada kutoka ya awali juu ya 3 May 2015. Iliwekwa mnamo 21 August 2015.
  3. Griffiths, Andrew (2005). Contracting With Companies. London: Hart Publishing. p. 7. 
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hatimiliki kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.