All Bout U

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“All bout U”
“All bout U” cover
Single ya 2Pac akishirikiana na Nate Dogg, Yaki Kadafi na Hussein Fatal
kutoka katika albamu ya All Eyez on Me
Imetolewa 13 Agosti 1996
Muundo 12" Vinyl
Imerekodiwa Oktoba 1995
Aina Hip hop
Urefu 4:35
Studio Death Row
Mtunzi Tupac Shakur, Nate Dogg, Snoop Dogg, Hussein Fatal, Yaki Kadafi
Mtayarishaji Johnny "J"
2Pac single 2Pac akishirikiana na Nate Dogg, Yaki Kadafi na Hussein Fatal
"Hit Em Up"
(1996)
"All bout U"
(1996)
"Life Goes On"
(1996)

"All bout U" ni jina la kutaja single ya nne ya 2Pac kutoka katika albamu yake ya All Eyez on Me. Wimbo umechukua sampuli ya wimbo wa "Candy" kutoka katika bendi ya Cameo na kumshirikisha Nate Dogg akiimba kiitikio cha wimbo, na mstari wa mwisho na tatu umegawiwa baina ya Yaki Kadafi na Hussein Fatal, wanachama wa Outlawz. Dru Down na Snoop Dogg waliongea katika moja ya sehemu za wimbo, Dru Down mwanzoni mwa wimbo na Snoop Dogg mwishoni mwake, lakini hawaja rap.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Side A

"All About U" (album version) (4:37)

Side B

"Thug Passion" (album version) (5:07)