Snoop Doggy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Cordozar Calvin Broadus, Jr
Mwanamuziki Snoop akiwa Mjini Hawaii
Mwanamuziki Snoop akiwa Mjini Hawaii
Jina la Kiraia Cordozar Calvin Broadus, Jr
Jina la kisanii Snoop Doggy Dogg

The D O Double G Bigg Snoop Dogg Tha Bigg Boss Dogg

Nchi Long Beach, California, Marekani
Alizaliwa 20 Oktoba 1971
Aina ya muziki Rap na Hip Hop
Kazi yake Mwanamuziki, Muigizaji, Mtayarishaji
Miaka ya kazi mn. 1992 -
Ameshirikiana na Dr. Dre, 213, Ray J, Brandy, Tha Dogg Pound, Tha Eastsidaz, Ice Cube, Xzibit, The Game, 50 Cent, Warren G, Nate Dogg
Ala Sauti, Gita,Kinanda,Kinakilishi
Kampuni Death Row, Interscope, Universal, No Limit, Priority, TVT, EMI, Star Trak, Geffen, Doggystyle

Cordozar Calvin Broadus, Jr (amezaliwa, 20 Oktoba 1971) ni Rapa wa kimarekani na pia muigazaji wa filamu. Alipata umaarufu kama Snoop Dogg, mwanzoni walikuwa wakimuita Snoop Dogg Doggy.

Akiwa anawakilisha kikosi cha West Coast Hip Hop, pamoja na mshirika wake wa karibu bwana Dr. Dre ambaye ndiye aliyesababisha Snoop kuwa hapo alipofikia. Snoop kuna misemo yake ambayo imezoleka sana midomoni mwa watu vile akisema 'fo' Shizzle, manizzle, akimanisha, kweli ndugu yangu, useme huo ulibuniwa na mwanamuziki mmoja wa huko huko nchini marekani maarufu kama Frank Smith & the Band, mnamo miaka ya 80 hivi.

Maisha ya Mwanzo[hariri | hariri chanzo]

Snoop alizaliwa mjini Long Beach, California tar. 20 Oktoba 1971. Akiwa bwana mdogo alipata jina la Snoop ambalo alipewa na mama yake mzazi kama jina la utani kwakuwa alikuwa anapenda kutazama kipindi cha televisheni kilichokuwa kinaitwa "Peanuts", kipindi ambacho kiliegemea kwenye masuala ya "Ucheshi", likiwemo na jina fulani la Snoop Dogg.

Snoop ajiunga na shule ya Long Beach Polytechnic High School, na baadae akapelekwa jela kwa kujishughulisha na maswala ya uuzaji na utumiaji wa madawa ya kulevya. Snoop pia alikuwa mmoja wa wanachama wa kikundi kidogo cha kihuni kilichokuwa kinaongozwa na "Bow Keene Mundine" ndani ya Long Beach.

Albamu Alizotoa[hariri | hariri chanzo]

Filamu Alizotoa[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Snoop Doggy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.