N.W.A
N.W.A | |
---|---|
![]() | |
Maelezo ya awali | |
Asili yake | South Central Los Angeles, Compton, California, Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop |
Miaka ya kazi | 1986–1991 1999–2000 (Muungano wa Muda) |
Studio | Ruthless, Priority, EMI |
Ame/Wameshirikiana na | Above the Law, Bobby Jimmy and the Critters, C.I.A., Fila Fresh Crew, J. J. Fad, Snoop Dogg, The D.O.C., World Class Wreckin' Cru |
Wanachama wa sasa | |
Eazy-E Dr. Dre Ice Cube DJ Yella MC Ren Arabian Prince |
N.W.A (kifupisho cha Niggaz Wit Attitudes)[1][2][3] lilikuwa kundi la muziki wa hip hop kutoka mjini Compton, California, nchini Marekani. Kundi hili hutazamiwa kama miongoni mwa makundi yaliyochochea mtindo wa gangsta rap,[4] wakati mwingine hutazamiwa tena kama kundi muhimu sana katika historia nzima ya muziki wa hip hop.[5] Lilianza kazi zake tangu mwaka wa 1986 hadi 1991, kundi lilizua minong'ono ya hapa na pale hasa kwa hali halisi ya mashairi yao makali, na hatimaye kufungiwa nyimbo zao zisipigwe katika vituo kadha wa kadha huko nchini Marekani. Licha ya hilo kutokea, kundi liliuza nakala zaidi ya milioni 10 ya CD kwa Marekani pekee.
Kundi linaunganishwa na mtu kama Arabian Prince, DJ Yella, Dr. Dre, Eazy-E, Ice Cube, na MC Ren; Arabian Prince amejitupa katika kazi za kujitegemea kunako mwaka wa 1989 na Ice Cube ameondoka mwezi wa Desemba katika mwaka huohuo kwa sababu za mgogoro wa kimaslahi. Wanachama mbalimbali wa kundi hili baadaye wakaja kuuza nakala zilizofikia kiwango cha platinamu katika miaka ya 1990. Albamu yao ya kwanza iliitwa Straight Outta Compton imenakiliwa kama mwanzo wa zama mpya za gangsta rap kuanzia utayarishaji na maoni ya kijamii na mashairi yao yalikuwa mapinduzi makubwa katika mtindo huo.[3] Rolling Stone ranked N.W.A number 83 on their list of the "100 Greatest Artists of All Time."[6]
Historia[hariri | hariri chanzo]
Diskografia[hariri | hariri chanzo]
Mwaka | Jina | Aina | Marejeo |
---|---|---|---|
1988 | Straight Outta Compton | Studio album | [7][8] |
1991 | Niggaz4Life | Studio album | [9][10] |
Wanachama[hariri | hariri chanzo]
- Former members
- Eazy-E (1986–1991)
- DJ Yella (1986–1991)
- Dr. Dre (1986–1991, 1999–2000)
- Ice Cube (1986–1989, 1999–2000)
- Arabian Prince (1986–1988)
- MC Ren (1988–1991, 1999–2000)
- Wanachama waliotembelea kundi
- Snoop Dogg (1999–2000)
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Potter, Russel A. (1995). Spectacular Vernaculars: Hip-Hop and the Politics of Postmodernism. New York City: State University of New York Press, 50. ISBN 0-7914-2626-2.
- ↑ Ice Cube produces N.W.A biopic. Filmstarts.de. Iliwekwa mnamo 2010-10-14.
- ↑ 3.0 3.1 Erlewine, Stephen Thomas. [N.W.A katika Allmusic N.W.A. Biography]. allmusic. Iliwekwa mnamo 2007-08-17.
- ↑ Former N.W.A manager Otto Kaiserauer talks gangsta rap
- ↑ White, Miles (2011). From Jim Crow to Jay-Z: Race, Rap and the Performance of Masculinity. Urbana, Illinois: University of Illinois Press, 64; 74. ISBN 978-0-252-03662-0.
- ↑ "100 Greatest Artists of All Time", Rolling Stone.
- ↑ Woldu, Gail (2008). The Words and Music of Ice Cube. Westport, Connecticut: Greenwood Publishing Group, 21–22. ISBN 0-275-99043-5.
- ↑ [N.W.A katika Allmusic Straight Outta Compton – N.W.A]. Allmusic (1988-08-08).
- ↑ Quinn, Eithne (2004). Nuthin' but a "G" Thang: The Culture and Commerce of Gangsta Rap. New York City: Columbia University Press, 32. ISBN 231124082.
- ↑ [N.W.A katika Allmusic Niggaz4life/100 Miles and Runnin' – N.W.A]. Allmusic (2002-10-08).