Boyz n the Hood
Boyz n the Hood | |
---|---|
Imeongozwa na | John Singleton |
Imetayarishwa na | Stephen Nicolaides |
Imetungwa na | John Singleton |
Nyota | Cuba Gooding, Jr. Ice Cube Laurence Fishburne Morris Chestnut |
Muziki na | Stanley Clarke |
Imehaririwa na | Bruce Cannon |
Imesambazwa na | Columbia Pictures |
Imetolewa tar. | 12 Julai 1991 |
Ina muda wa dk. | 127 |
Nchi | Marekani |
Bajeti ya filamu | $6,500,000[1] |
Mapato yote ya filamu | $57,504,069[2] |
Boyz n the Hood ni filamu ya hood ya mwaka wa 1991, ambayo imetungwa na kuongozwa na John Singleton. Kwenye filamu anacheza nyota Ice Cube, Cuba Gooding, Jr., Morris Chestnut, Nia Long, Angela Bassett, Regina King, na Laurence Fishburne. Filamu inaenelezea maisha ya kimaskini ya South Central (sasa hivi South) Los Angeles, California, na ilitengenezwa na kutolewa wakati wa majira ya joto ya mwaka wa 1991. Ilipata kushindanishwa kote kwenye "Mwongozaji Bora" na "Mchezo Bora" wakati wa ugawaji wa Tuzo za Academy mnamo mwaka wa 1991, na kumfanya Singleton mtu mdogo sana ambaye amepata kushindanishwa akiwa kama Mwongozaji na Mwafrika-Mwamerika wa kwanza kuchaguliwa kuwa kama Mwongozaji bora kwenye tuzo hizo.
Filamu ilipigiwa katika sehemu ya Un Certain Regard wakati wa Tamasha la Filamu la Cannes la 1991.[3]
Washiriki
[hariri | hariri chanzo]- Cuba Gooding, Jr. kacheza kama Tre Styles, son of Furious and Crenshaw High School senior
- Laurence Fishburne kacheza kama Furious Styles, baba ya Tre' Styles
- Ice Cube kacheza kama Darrin "Doughboy" Baker, older brother of Ricky
- Morris Chestnut kacheza kama Ricky Baker, younger brother of Doughboy and all star football player katika Crenshaw High School
- Nia Long kacheza kama Brandi, mpenzi ya Tre
- Tyra Ferrell kacheza kama Brenda Baker, mama ya Doughboy na Ricky
- Angela Bassett kacheza kama Reva Devereaux, mother of Tre
- Desi Arnez Hines II kacheza kama Young Tre Styles
- Donovan McCrary kacheza kama Young Ricky Baker
- Dedrick D. Gobert kacheza kama Dooky
- Tracey Lewis-Sinclair kacheza kama Shaniqua
- Alysia Rogers kacheza kama Shanice, Ricky's girlfriend
- Regina King kacheza kama Shalika
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Boyz n the Hood (1991)". Box Office Mojo.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ "Boyz n the Hood (1990)". Box Office Mojo.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ "Festival de Cannes: Boyz n the Hood". festival-cannes.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-08-22. Iliwekwa mnamo 2009-08-09.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Boyz n the Hood at the Internet Movie Database
- Boyz n the Hood katika Rotten Tomatoes
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Boyz n the Hood kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |