Nenda kwa yaliyomo

Forgot About Dre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Forgot About Dre”
“Forgot About Dre” cover
Single ya Dr. Dre featuring Eminem
kutoka katika albamu ya 2001
B-side "Bad Guys Always Die (feat Eminem)"
Imetolewa 2000
Muundo CD Single 12" Vinyl
Imerekodiwa 1999
Aina Hip hop
Urefu 3:42
Studio Aftermath/Interscope
Mtunzi André Young
Melvin Bradford
Marshall Mathers
Mtayarishaji Dr. Dre
Mel-Man
Mwenendo wa singles za Dr. Dre
"Still D.R.E."
(1999)
"Forgot About Dre"
(2000)
"The Next Episode"
(2000)
Mwenendo wa singles za Eminem
"Dead Wrong"
(1999)
"Forgot About Dre"
(2000)
"Bitch Please II"
(2000)

"Forgot About Dre" ni single mshindi wa Grammy Award-kutoka katika albamu ya Dr. Dre 2001, akimshirikisha Eminem, imefikia nafasi ya #25 kwenye chati za Billboard Hot 100, nafasi ya #14 nchini Marekani kwenye chati za R&B, na nafasi ya #7 kwenye chati za UK Singles Chart. Kama ilivyo single kiongozi ya albamu "Still D.R.E.," wimbo hutubia sana ukosoaji wa Dre dhidi ya wajinga-wajinga bila hata kushtuka, kama jinsi Dre alivyotangaza kurudi kwenye uwanja wa hip-hop na kuwakumbusha wasikilizaji juu ya ujio wake wa ajabu katika gemu hilo.

Maelezo ya wimbo

[hariri | hariri chanzo]

Katika muziki wa video, mistari kamili kadhaa ya vesi ya Eminem imebadilishwa na kipande cha Eminem akijibu maswali ya mwandishi wa habari Jane Yamamoto kuhusu moto ambao yeye na Dre wameuazisha. Video imeshinda tuzo ya MTV Video Music Award for Best Rap Video mnamo 2000. Wimbo huhesabiwa kama majibu ya upondaji uliofanywa na wasanii wa Death Row katika Suge Knight Represents: Chronic 2000, kompilesheni iliyotolewa na Suge Knight ambayo ilichukua jina halisi la albamu ya Dre.

Mwishoni mwa muziki wa video wa "Forgot About Dre" kuna kipande kifupi cha Hittman akipasuka mstari wa kwanza wa wimbo wa "Last Dayz".

Mashairi

[hariri | hariri chanzo]

Kwa mujibu wa mahoajiano na Behind The Boards katika Shade 45, Eminem katika Sirius Satellite Radio, Eminem ametunga wimbo na Snoop kwa kufikiria kwamba Dogg “Awali nilipanga kuona iwapo Snoop angepiga kiitikio.. Nilifikiria kwamba ingekuwa bomba sana kama nilivyopenda.. Nilikuwa na mstari wa kati, Snoop akafanya kiitikio..”.[1]

Mstari wa "Who you think brought you the OGs, Eazy-Es, Ice Cubes, and The D.O.C.s, the Snoop D-O-double-Gs, na the group that said 'Motherfuck the police'?" mistari ambayo ni muhimu kwa Dre katika ulimwengu huu wa rap, mandhari ya wimbo.

Mstari wa Eminem sio ya kawaida - ametumia mtindo wake uleule wa "Slim Shady", yanamwelezea kwamba yeye mtembea kwa miguu tu, choka mbaya: ("One day I was walkin' by with a Walkman on/When I caught a guy givin' me an awkward eye/So I strangled him off in the parking lot with his Karl Kani") na kutishia kumwua mwanamke ("Fuck you, too, bitch, call the cops/I'ma kill you and them loud-ass motherfuckin' barkin' dogs"), na vilevile kubwabwaja namna gani ya kujitoa matatizoni, kwa kukorofishana na sheria ("And when the cops came through/Me and Dre stood next to a burnt down house with a can full of gas and handful of matches/And still weren't found out right here")

Muziki wa video

[hariri | hariri chanzo]

Muziki wa video una Dr. Dre akitembea na kuongea kuhusu mafanikio yake ya awali mwanzoni mwa mstari. Mtu aliyeshikilia gazeti anaona picha ya Eminem' inaanza kurap kiitikio. Liofuata, Eminem anaimba mstari wake. Katika kipande hiki, anaonekana katika kichekesho kidogo kinachomuhusisha yeye na Dr. Dre wakiendesha gari wakiwa wamelewa huku wakijaribu kumzodoa bibi kizee. Dr. Dre anaonekana akijolea bustani ya bibi yule na anapayuka iweje mbwa zake waamshwe - huku Eminem akionekana ana mlani yule bibi. Wakti unavyokwenda nyumba ya bibi inaonekana ikiuungua na Jane Yamamoto anatoa taarifa kutoka eneo la tukio. Anamwoji Eminem, ambaye anajifanya mtazamaji asiye na hatia na kusema: "listening to his Will Smith CD." Halafu video inarudi kwa Eminem anarap na inaishia Hittman akiimba "Last Dayz." . Mnamo mwaka wa 2009 , video ilichaguliwa nafasi ya #13 ikiwa kama Video Bora ya makumi na Jarida la Complex.[2]

Orodha ya nyumba

[hariri | hariri chanzo]
Single ya CD
# JinaMtunzi (wa)Sampuli Urefu
1. "Forgot About Dre" (akiwa na Eminem)A. Young, M. Bradford, M. Mathers 3:42

Chati na Tuzo

[hariri | hariri chanzo]
Chati (2008) Nafasi
iliyoshika
Hot R&B/Hip-Hop Songs 14
Top 40 Mainstream 32
Rhythmic Top 40 3
Billboard Hot 100 25
Top 40 Tracks 24
UK Singles Chart 7
Irish Singles Chart 20

"Forgot About Dre" imeshinda Best Rap Performance by a Duo or Group katika ugawaji wa tuzo za Grammy za 2001.

  1. "New Eminem Interview With Sirius Radio". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-19. Iliwekwa mnamo 2010-03-22.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-11-20. Iliwekwa mnamo 2010-03-22.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]