G-funk
Mandhari
| G-funk | |
|---|---|
| Asili ya utamaduni | Mwishoni mwa miaka ya 1980 – mwanzoni mwa miaka ya 1990, huko Los Angeles, Marekani |
| Ala | |
G-Funk au Gangsta-Funk ni aina ndogo ya muziki wa hip hop ambayo imeibukia katika mtindo wa West Coast Gangsta rap mwanzoni mwa miaka ya 1990.