Nenda kwa yaliyomo

Machata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Graffiti)

Machata (kutoka Kiingereza:Graffiti) ni alama au maandishi yaliyochorwa katika ukuta. Kikawaida hufanywa na rangi au kidude cha kupulizia rangi (rangi inayopulizwa kutoka katika kikopo). Alama moja yaweza kuitwa graffito lakini neno graffiti kikawaida hutumika kwa maana ya kwamba kuna alama zaidi ya moja.

Graffiti inaweza kuchukua umbo la sanaa, michoro au maneno. Hatua hii ikifanyika bila ya idhini ya mwenye mali huhesabiwa kama uhuni. Wakati mwingine watu huchora na kuandika jina la mtu au maneno makali. Wakati mwingine huwa kama upingaji wa umma kisiasa.

Historia yake

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]