Rap opera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rap opera au hip hopera ni mfululizo wa nyimbo za hip hop katika aina ya opera, imetokana na wazo la rock opera.

Kama jinsi mtangulizi wake, rap opera inaelezea hadithi moja baada ya nyingine ya muziki kwa vipande-vipande, ambamo inamhusu muhusika yuleyule au wahusika walewale. Rap opera yaweza kuwa uzoefu kamili wa usikivu wimbo, au ushirika mwingine wa kimuziki jukwaani, vitabu vya hadithi za ajabu, au aina nyingine ya kisanaa. Inahusisha sana vijana, wenye kujitolea, inachezwa sana na wale wenye kujitolea na kufanywa sana na makundi-siolipwa kuliko maemsii wakulipwa.

Pale mwimbaji wa R&B R. Kelly alipoulizwa kwenye IFC namna gani anaelezea mfululizo wake wa "Trapped in the Closet", Kelly alielezea kwamba ile kama hip hopera au opera ya kimuziki, lakini hiyo kwa sasa ni refu sana kuuita kama wimbo.[1] Mnamo 2001, MTV wakatoa kwa mara ya kwanza kavideo kajina la Carmen: A Hip Hopera, -liyoongozwa na Robert Townsend na nyota wa humo ni Beyoncé Knowles na Mekhi Phifer. Volume 10 pia -metoa albamu iliyokwenda kwa jina la Hip-Hopera mnamo 1994.

Mifano[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-02-18. Iliwekwa mnamo 2009-12-11.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]